`Siku moja nilitembelea web yao nilisikia kichefuchefu ni upupu humo mle hakua hata kuapdate contactasHuwa na mshangaa sana msajili wa Hazina unakuta anatoa kibali cha kuajiri watu wanahajiriwa ila hakuna kazi wanayofanya nikulipwa mshahara tu na kodi za watanzania na wengine wako busy wanatumia magari ya serekali ovyo katika biashara zao Hii ipo sana wizara ya mali asili .Maige hii ni aibu kubwa mno-tupia jicho lako.