Watu wanamtaka Tundu Lissu kwa sababu hamung'unyi maneno na haogopi kusema na kukemea ubaya bila kujali aliyeufanya

CHADEMA tunaviongozi wazuri lakini kwa wakati huu nasema tena kwa wakati huu Tundu Antipas Lissu anatufaa. Huyu Mama anataka kutuletea Siasa za Kiunguja unguja.
 
Nimegundua hata cdm Kuna watu Wana Wana tabia za ki ccm
 
Exactly umenena ukweli viongozi wapiga deal wakae pembeni nchi iwe na watu wasema ukweli bila kumung'unya maneno na bila kuogopa.
 
Kama kweli ana tabia hiyo basi itoshe kumpina kama ana hekima inayotosha kuwa kiongozi.
 
Mzee Mbowe apishe wasomi kama Lissu waongoze jahazi ,hakuna namna aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…