Watu wanaokuwa na mawazo ya kujiua ni wa kuwasaidia...

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
623
Habari wakuu.
Nilikua napitia mkasa wa wa Lady Jay Dee kutaka kujiua nikaguswa sana na maneno aliyoandika pamoja na post ya member mwenzetu [U]Watu8[/U]




Nini kinasababisha Lady Jay dee atake kujiua? - JamiiForums







After all depression "Sonona" ni kitu kibaya sana, huzuni, mfadhaiko moyoni na kuhisi thamani yako haipo tena humfanya mru ajisikie useless/hana thamani na mwishowe kujitoa uhai kwa namna yeyote ile.

Wasanii wa muziki, maigizo na ndoa zinamaliza wengi sana. Tuwasaidie watu walio katika haya makundi pamoja na wengine wale kwa kuwatahmini na ku show love.
Unawza usiwe na chochote kile ila maneno ya kutia faraja yakamuokoa mtu na kifo. That is love mtu kama jide anahitaji support na love nguvu kutoka kwa watu wanaomzunguka.

Watanzania tuwe watu wa kuzuia tatizo kabla halijatokea,. Naamini nguvu tunayo.
Shukrani wakuu Tanzania watu ni wema... tukumbushane kutenda mema! Matatizo mengi ya watu yanasababishwa na dhambi huu ndio ukweli tusifichnae. Mungu ni mwenye huruma tukiomba msamaha na kutubu tutaokolewa.
Mungu awabariki wana JF.
 
Ogopa sana inabaki historia wakati kwanza ndio una miaka 35. Unasikia watu wanasema "Yule jamaa alikuwa na PESA sana".
Be strong dada ila tafuta mtu wa kukuliwaza, usingle unakuongezea stress!
 
tatizo vyuma vimekaza watu mastress kibao mtu akifikiria kujiua inahitaji ujasiri wa hali ya juu kubadili mawazo. Labda kwa sie ambao duniani hatupo na akhera hatupo, hatuna cha kupoteza tunaishi kisela tu tunamsubiri masihi
 
Hii elimu bado wabongo wengi haijawafikia. Nashangaa "magreat thinker" wa humu walivyotoa hoja za kijinga(kukosa elimu). Nikawaza jamii ambayo haimo humu sijui itakuwaje?. Kujiua ni ishu sireous sana na ina sababu nyingi sana. Unafahamu kuwa kuna dawa ukitumia moja ya madhara yake ni kukuletea mawazo ya kujiua?
 
Kujiua ni MAPEPO WAMEKUINGIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…