Njooo mkuu ntakutafutia kazi uku zipo. Sio kama uko na sirikali yenu ya kuuwa raia. Hii. Ni wenyewe wanaiita TAIFA HURU.
Aah uko bwana Tupo kwetu lkn kama upo ukimbizini tu, lisasi, ukipiga picha kosa,Ukiwa kiongozi mdogomdogo W's chama pinzani unanyongwa, dah naipenda nchi yangu Tanzania lakini mmmmh Acha tukae tu huku kwanza Mpaka apo hali ikikaa sawa
Akili mgandoWatupe fursa za biashara, lakini kuondoka nchi yangu big no
We umeichoka ndoa ndiyo umerudi bongo?Wanaishiaga kuolewa tu