johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹