johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kabla ya kuandika ungechunguza kwanza upajue hapo kanisa Katoliki Msimbazi pakoje, kukusaidia hapo si kanisa tu, mpaka makaburi yapo na biashara za kila aina zipo pia kuna kumbi za mikutano, harusi na sehemu za kulala wageni.Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Uko nyuma ya muda sana 😀Kabla ya kuandika ungechunguza kwanza upajue hapo kanisa Katoliki Msimbazi pakoje, kukusaidia hapo si kanisa tu, mpaka makaburi yapo na biashara za kila aina zipo pia kuna kumbi za mikutano, harusi na sehemu za kulala wageni.
Wao hawakutumia kanisa ila walitumia ukumbi na huyo mpatanishi siyo padri katika nafasi yake.
Mada ni "Kwanini walipelekwa kanisani kuamuliwa".Uko nyuma ya muda sana 😀
Punguza upuuzi weweBadala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Halikutumika eneo kikao kilifanyika ofisini Kwa Paroko Jirani na pale alipokuwa akiishi Rose Mhando 😂😂😂Mada ni "Kwanini walipelekwa kanisani kuamuliwa".
Jibu langu hawakupelekwa kanisani kusmuliwa bali lilitumika eneo la kanisa na si ndani ya kanisa.
Kama wewe ni GT utanielewa.
Aliyeandika kuwa walipelekwa kanisani siyo mimi, mimi nimeandika kama hoja ilivyouliza, kwaheri.Halikutumika eneo kikao kilifanyika ofisini Kwa Paroko Jirani na pale alipokuwa akiishi Rose Mhando 😂😂😂
Sio tu napajua bali nimeishi sana Msimbazi center 😂
Haya 🐼Aliyeandika kuwa walipelekwa kanisani siyo mimi, mimi nimeandika kama hoja ilivyouliza, kwaheri.
Huyo amezoea ubishi wa kwenye pombe mpuuze tuAliyeandika kuwa walipelekwa kanisani siyo mimi, mimi nimeandika kama hoja ilivyouliza, kwaheri.
Alidhani sipajui Msimbazi center 😂Huyo amezoea ubishi wa kwenye pombe mpuuze tu
Inaelekea akili zako hazina akili, hivi mpaka Leo hujui kazi ya viongozi wa dini ni kupatanisha? Kuhakikisha amani wakati wote? Ama hakika nyani haoni kunduleBadala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Ina maana hujui kuwa kuwapatanisha watu wanaogombana ni kazi ya kitume? Kwani Lissu na Mbowe ndiyo viongozi wa kwanza kusuluhishwa na viongozi wa Kidini?Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
CCM yaCCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Akili za kijani hizi.Badala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
CCM ya kwao yamemalizwa na mkizimkazi. Fukuto na dukuduku ni kubwa sana, soon tutaona mlipuko.CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Penye ukumbi uliotulia wa kukutania kwa utulivu wa kikaoeneo la kanisa na si ndani ya kanisa.
Hujui dunia na punguza kamdomo ,uchaguzi umeishaBadala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema
Imethibitika aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na makamu wake Mh Tundu Lisu walipelekwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume na katibu mkuu Mh John Mnyika Ili wafanyiwe upatanisho wa Nafasi za Uongozi walizokuwa wanabishania
Je, Katiba ya Chadema ina kipengere kinachohusu kuomba msaada wa kimaamuzi Kanisani au Msikitini? Hiyo Ndio Hoja
CCM ya kwao wameyamaliza Wao Wenyewe
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
TakatakaBadala ya kuhoji maamuzi halali na ya Kikatiba ya CCM nadhani Watu wangehoji kama ni halali Kanisa kufanya maamuzi Kwa niaba ya Chadema