Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mbishi huyoo kama kisiki cha mpingo. Ni rahisi zaidi kutetea ujinga kuliko kuufuata ukweli.Jamaa kaandika pumba mno, naijua kidogo hii elimu.
๐Na mwamba kavurunda aisee ๐ค
Huwezi kutaja nyita zenye nguvu kimamlaka bila kuitaja nyota ya mbuzi.Mbishi huyoo kama kisiki cha mpingo. Ni rahisi zaidi kutetea ujinga kuliko kuufuata ukweli.
Ana liwa na mizimu๐๐คฃ๐คฃ, kaingia Chaka mno๐๐คUnaliwa mwanangu
Akili yako tu, sawa na wale wa majina.Nikijiangalia mimi, mbona kama hii kitu iko sahihi sana hadi nimeogopa ๐๐
Yaan mi ni mulemule๐Nikijiangalia mimi, mbona kama hii kitu iko sahihi sana hadi nimeogopa ๐๐
Inawezekana ila nimeangalia pote ambapo nyota yangu imetajwa halafu ikawa on point kidogo inafikirishaAkili yako tu, sawa na wale wa majina.
Jasmoni - Strong, confident, smart, rich. Your focus is success and compassion.
Tegga - Outgoing, brilliant, brave, salubrious. Your passion is attempting beyong average.
Inawezekana ila nimeangalia pote ambapo nyota yangu imetajwa halafu ikawa on point kidogo inafikirisha
Generalization works almost always; it may seem like magic even.Yaan mi ni mulemule๐
๐๐kumbe๐Generalization works almost always; it may seem like magic even.
It's a sort of those improvised, time-immemorial school bits: land alienation, forced labor, lack of manpower, low capital, poverty, illiteracy, etc.
Inawezekana ila sidhani....sayansi ya asili ina nafasi yake pamoja na kwamba inaweza kuwa inakinzana na taratibu zingine za usasa au imani.Generalization works almost always; it may seem like magic even.
It's a sort of those improvised, time-immemorial school bits: land alienation, forced labor, lack of manpower, low capital, poverty, illiteracy, etc.
Mshale [emoji757]