Aah maybe ila wote nnaowaona wako happy na wanaheshimiana
Tusiwe na wivu kuhusu hizo mbususuWakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Kwlei kabisa ukikumbuka mambo uliokuwa unafanya na demu alafu leo hii unaambiwa mke wa mtu aisee hatariKabsa ndo maana kuoa mwanamke asiye na bikra haya ndo madhara yake...Vijana oeni mabinti waliojitunza mle mema ya nchi.
Mbeya, morogoro(pwani) na nk, ogopa sana watu wanaitana mabinamuUmeamsahau COUSIN[emoji2][emoji1][emoji3]