Watu wanataka utume kwenye namba hii

Watu wanataka utume kwenye namba hii

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kila siku Ni angalau unapokea msg moja ya watu(matapeli) wanataka kutumiwa hela kwenye namba zao za simu. Je mamlaka haziwezi kudhibiti Hali hii hata baada ya kusajili line zetu kwa alama za vidole?
 
(Ile hela tuma kwenye hii)
Halafu kuna wale wa Mzee Hashimu mtaalamu wa Tiba za asili na kusafisha nyota.

Ukikaa vbaya kuna wale(Umeshinda Million 6 kutoka Halotel) kabla ujatulia wanakuja (Mwanao amelazwa shuleni tuma hela kwenye namba hii).

Kwa kifupi mamlaka husika imefeli TCRA ikishirikiana na TANPOL ili swala mmeshindwa kabsa kutatua? Kila siku mnawakamat na hatusikii hukumu Naskia Mawakala wanauza izo namba na pia uwepo kwenye makundi ya whatsapp kiukweli inakera.
 
Wanacho weza ni kublock jina la mwana siasa kipindi cha kampeni uki tuma sms lakini hapa hawa wezi
 
Kila siku Ni angalau unapokea msg moja ya watu(matapeli) wanataka kutumiwa hela kwenye namba zao za simu.Je mamlaka haziwezi kudhibiti Hali hii hata baada ya kusajili line zetu kwa alama za vidole?
Labd unatumia tecno,alafu apo apo unakula Rende ,ubahili Ela Bora uwape hao wahuni
 
Back
Top Bottom