Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kiukweli bangi haina shida kama inavyotangazwa vibaya. Bangi haina tofauti na kahawa. Tena bangi inafaida sana. Moja ya faida ya bangi ni kukata hangover. hakuna dawa nzuri ya hangover kama bangi. Napendekeza watu waruhusiwe kupata supu ya bangi ili kukata hangover. Assume supu ya mbuzi imeungwa bangi unaipata asubuhi!