Watu wangu wa Iringa, mbeya,njombe,ruvuma piten hapa...

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
Ndugu zangu naomba kufahamu vyuo vya ualmu ngazi ya chet vya private (jinsia zote)vinavyopatikana ktk mikoa ye2..ikiwezekana naomba na mawasiliano yao...
 
kuna st Agrey kipo Mbeya, alafu kuna kingine kipo Mafinga Iringa ila kinatoka diploma sijajua kama kinatoa astashahada.
 
kingine kipo mafinga kinaitwa misso teachers training college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…