ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
-
- #21
Wacha ujingaAisee sitaki uniweke kabisaa.
Vp lile zoezi la kupiga puli lilikusaidia kuondoa chunusi kama ulivyopost humu?
Kwani hukuandika humu jf?Wacha ujinga
Hivi kwanza kwa nini unadhani huwezi kuchat na mimi ukiwa na umri huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawaHahahaaaa,
But inategemea na wew upande wako, ukilijua hilo utakua unafanya kunikumbusha,
ni stop kitu fulani na nicontinue na kipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambao hatujatajwa tujitafakari[emoji38]
Loading...
Series inahusu
Wow, I hope unachukua somoSeries inahusu
Kijana mjanja anaefanya kazi kwenye bookstore alituma mtandaon story yake ya.....
Jinsi gan alimfanya mwanamke wa ndoto zake ampende.View attachment 1031645
Sent using Jamii Forums mobile app
top sixty haumoooooosi bure tunamatatizo haiwezekani hadi kwenye top 60 hatumo.. itabidi mweka mada tumbebeshe zigo la ubaguzi,upendeleo n.k lzm apondwe mawe
Nyie mna mrengo wa ki ufipa ufipa.Ambao hatujatajwa tujitafakari[emoji38]
Loading...
Kule kusini wanamkubali kwa kununua koroshoww zao..Hata usimpomsifia wewe
Watamsifia
Wanafunzi wanaofaidika na elimu bure
Familia za tembo kwa kukomesha ujangili
Wazazi ambao Watoto wao wangepotelea kwenye madawa
Wengi tu nikisema niwataje hapa sitamaliza ila hiyo sio maada ya leo