NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,240
- 1,680
Habari waugwana wa JF
Tupo kwenye wakati joto la uchaguzi limepanda kweli, wapo watu bado hawajapata mwafaka nani wampe kura zao wapo kwenye Tadhimini, hili ni kundi dogo sana
Lipo lingine la pili ambalo linasubiri tu Tar 28, humbadilishi kwa sera na Hawataki kusikia chochote zaidi, tathimini yao walishamaliza, hili kundi ndio wenye hasira, au litakalopiga kura za hasira hawa ndio wengi.
Kundi hili lina kiu kubwa ya Mabadiliko, hasara kubwa ya kundi hili ni katika utekelezaji wa kufanya kura Ihesabike nikiwa na Maana Hasira Haitendi kwa Usahihi au kwa busara, matokeo yake ni kukosea sehemu ya kupiga tiki au kupiga mtiki mkubwa unaoenda nje ya box au kuchafua kwa alama isiyo eleweka kwamba ni tiki, mwisho wa yote ni kura imeharibika ni kama hajashiriki Uchaguzi.
Maoni yangu watu wapewe elimu na kuhimizwa kuwa watulivu wakati wa kutekeleza zoezi hili.
Kundi la tatu hili ndio wapiga kura original wanasikiliza sera wanatafakari na kuamua.
Wananafasi kubwa sana ya kuchagua kiongozi Sahihi pia utulivu hufanya kura zao nyingi kuto kuharibika.