Watu wasiojua kingereza wako na wivu sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hivi inakuaje mtu unakua na chuki kisa kingereza kinakupa shida, wengine wanataka mpaka kuomba uongozi wakati lugha ya Queen nichangamoto kwao.
 
My name is Sikidhani
I come from Namanyere
I live in Tanzania Dar es Salaam region Temeke district Mbagala Charambe rural area
I live with me myself and I
I like cooking and eating my food
I like singing and dancing
I love swimming and reading love stories
I love boy friends who are not my boyfriends i.e. we don’t do that thing we just swim dance sing cook eat read and travel togather
I endeavor traveling as I love adventures
I like learning new things like culture dishes how it is made and how do they do it and so forth of the like.
Am too old to argue but I won’t stop where a need arise
Some more...??!
It’s a biscuit, I love chocolate instead.

Ciao.
 
Na hasa wajapan,wachina,wajeruman I,Urusi.ebu angalia wachina wanavyowasumbua watu Hong kong.wajerumani walivyowakaidi dhidi ya wamerekani kuhusu kulipa sehemu yao kwa NATO na kuacha ujenzi wa Nord stream2.na urusi Nayo inavyoitendea uingereza hapa afrika Congo wanavyoichukia Rwanda Toka kagame aingie madarakani kwa sababu anaongea kiingereza.na Ethiopia wanaangusha tu ndege za Kenya kule somalia jinsi wajisikiavyo.wahabeshi wakaidi dhidi ya misri na Sudan hawaelewi kiingerza hata wakiambiwa msijenge hili bwawa Basi tufanye mazungumzo wanakimbia si kiingereza hawajui.

Watanzania dhidi wakenya usiseme wakenya wakileta ujinga wao tu.watz faster wanascrew faster wakinya wanasalim amri kama madem tegemezi.
 
so you like boy friends who are not your boyfriends?..... well I like girl friends who are not my girlfriends too....so we are kinda connected don't you think??...
 
Lijaluo lipumbavu, hivi na nyie wakenya mnajisifia kujua kiingereza. Hiyo accent yenu Boris Johnson hawezi kuelewa kabisa, sana sana atauliza huyu mtu anaongea lugha gani. Mtu unaongea accent mbovu utafikiri umemeza ugoro, bora hata wanaigeria lafuhi yao inaelweka vizuri, unaweza kuelewa anachoongea.......bwahahahaha.....eti give me an explanashoni...kiingereza au takataka....bwahahahahahahaha.............
 
We Unajuwa Kiingereza Au Ni UtopoLo Mtupu,, Kama Kingereza Dili Nenda Kaishi na Wazungu acha ulimbuken wa Lugha.
Lugha ya Taifa ya kwetu ni Kiswahili.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu hicho kiingereza hata hawakijui, unaongea kiingereza utafikiri umemeza ugoro. Hasa hao jaluo huwa wanaong'oa meno ya mbele, utamhurumia anavyo struggle kutamka maneno ya kiingereza. Wangejikita zaidi kumwelimisha rais wao aache kuvuta bangi...
 
Mkuu hicho kiingereza hata hawakijui, unaongea kiingereza utafikiri umemeza ugoro. Hasa hao jaluo huwa wanaong'oa meno ya mbele, utamhurumia anavyo struggle kutamka maneno ya kiingereza. Wangejikita zaidi kumwelimisha rais wao aache kuvuta bangi...

Kuna yule Rais mmoja ndo kichekesho.
 
Unaonekana ni limbukeni Sana ww mbona kingereza ni lugha tu ya kawaida haina uhusiano na taaluma
 
We Unajuwa Kiingereza Au Ni UtopoLo Mtupu,, Kama Kingereza Dili Nenda Kaishi na Wazungu acha ulimbuken wa Lugha.
Lugha ya Taifa ya kwetu ni Kiswahili.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Why so rush?...
Did you know the first step before panic! is don't panic!....so cool down and then write it again..... make sure you don't break your fingers this time...
 
Wakenya mtatapatapa sana!! yaani hadi mnatia huruma. Wenyewe kwa wenyewe mnabaguana wanajua kijaluo na kikuyu na mikabila yenu mingine; sasa mmehamia jirani hawajui kiingereza... na bado hata mkifika ahera mtajidai mnajua kiyahudi na kiarabu. Jipangeni Watz sio levo yenu.
 
Kituko ni yule rais mlevi na mvuta bangi, jaluo umeshaondoa hiyo mkono ya sweta...


Ndio lakini yule jamaa wenu anaogopa hata kusafiri nasikia kichwani lugha ngumu empty mind
 
Na ukimkuta ndo interviewer ukamletea uMarekani anakufyeka kama mwizi.
Kwanini?..bila shaka na yeye hakipandi so analeta chuki alizoongelea mleta mada...au ulimaanisha ukimletea uSwahili sababu waswahili ndio wanaoongoza kwa tabia za ajabu ukilinganisha na marekani taifa ambalo limeendelea mara 75 zaidi ya taifa wanaloishi waswahili??..
 
We also here liking for speaked english course
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…