mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV.
---
Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja,baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusiko julikana
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Last edited by a moderator: