Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV.
---
Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja,baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusiko julikana
Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV.
Wezi ni wa ajabu sana. Imewahi kutokea baba na mwana kuiba mavi wakdhania kuwa ni mali. Walilofika ndani na kugundua kuwa nj mavi wakaanza kurushiana mzigo wa nani akatupe baada ya mke kusara kuwa wameleta mabinti.
Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja,baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusiko julikana Chanzo;ITV