masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eee bwana walitisha sana wakati huo!ile kesi ya kutekwa bilionea iliishia wapi au bado inaendelea? dah bongo banah eti watu wasiojulikana
Hawajapata maelekezo kwani kubwa lao lipo nondo kwa ugaidi?View attachment 1941050
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
Mfadhili ameotea Mungu kapuliza kipenga .View attachment 1941050
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
Hakika Mungu refa wa ajabu!Mfadhili ameotea Mungu kapuliza kipenga .
Vikosi vya kihuni viliundwa na watu wa jiwe wakisimamiwa na makonda.View attachment 1941050
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
Iliisha baada ya Bilionea kuvalishwa khanga laini ya Mombasaile kesi ya kutekwa bilionea iliishia wapi au bado inaendelea? dah bongo banah eti watu wasiojulikana
Kuna taarifa kwamba wanafufuliwa hivi karibuni , DG wao bado ni yule yule , ni suala la kuhuisha tuView attachment 1941050
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
AiseeeeView attachment 1941050
Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?