Story za nguate
Member
- Mar 20, 2022
- 27
- 46
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana?
Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama:
~ Mauaji ya Kibiti.
~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni.
Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana.
Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili?
Mada mezani.
==
Pia soma Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana
Na Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana