Watu wasiojulikana

Joined
Mar 20, 2022
Posts
27
Reaction score
46
Kwani kiranja mkuu alikuwa nani?
 
Kuna two types za hawa watu, kuna watu wasiojulikana na 'wasiojulikana'!, unawazungumzia wepi?, Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
P
 
Je hao wasiojulikana walisaidia ama hawakusaidia?
 

Hao si watu wasiojulikana.ni magaidi wakisaidiwa na imani fulani kutoka iran.

Walianzia kenya wakaona kuja huku waliposhindwa wapo mozambique.
nenda kalipe kule telegram usome vizuri story ya buyombe
 
Kuuund lilipewa carz maalumu kuchafua Siri Kali ya Pombe kwa kufanya mauag ya sili pia walianzisha wanaharakat wa ndani na nje ya aridh wadanganyika Ili kuaminisha jamii kuwa siricarli inauwa watu ivi fikiria kwa viroba vilivyo kuwa vinasemwa hatukuwahi sikia mtz yoyote akisema ndg zake wamepotea

Mipango Yao ilikuwa kama ifuatavyo
1.uwepo wa tasisi ya kigogo wahusika wake baadhi walikuwa karibu na rahisi wa awamu five
2.pia akina zto waliwezeshwa kusafiri kwa ajili ya kumsiriba jpm
3.mpango wa ukuta ulilatibiwa Ili kuleta sitofahamu kwa nchi ya wadanganyika ndo maana mratibu wa mapindz hayo alifurahi sana alipomuona mwezeshaji wake adi akafanya [emoji1702] nae huko ugaibuni
 
Yule iblis kuu ameshasepa nao
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Hao si watu wasiojulikana.ni magaidi wakisaidiwa na imani fulani kutoka iran.

Walianzia kenya wakaona kuja huku waliposhindwa wapo mozambique.
nenda kalipe kule telegram usome vizuri story ya buyombe
 
Kwa hiyo JPM alikuwa Rais dhaifu sana kukubali makundi ya kuhujumu utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…