Watu wasiri nyie kumbe Wanyarandwa wapo humu?

Watu wasiri nyie kumbe Wanyarandwa wapo humu?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Nilikuwa sina taarifa uwepo wa Jukwaa hili Rwanda !
Nimeliona hivi punde!.
Watu mnasiri sanašŸ˜!
Ila changamoto naiona Wavhngijai wa Lugha ya Kinyatwanda ni Wachacje sana!
Japo ndiyo hivyo thread zao zimejaa! Bila shaka ntapata Penpal humu!
 
Ni wakati Sasa kuww na usawa humu. Ingependeza forums zote bila kujali jamii wala kanda, iwe ni lazima kutumia lugha ya kingereza au kiswahili.
 
Na mimi naunga mkono watumie kiingereza au kiswahili, vinginevyo fursa nyingi watazikosa.
 
Back
Top Bottom