Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Umeshakuwa mkubwa sasa.
Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na Furaha.
Tafsiri ya furaha kwa sisi Watibeli ni kutokuhisi Upweke. Kutokuhisi Upweke ni kuhisi kupeñdwa. Upendo ndio huleta furaha, upendo huondoa upweke.
Kwenye maisha yako, kuna Watu watatu úkiwakosa au kuwaona hawana furaha au úsipowapo furaha jua maisha yako ni magumu sana. Na kamwe hauwezi kuwa na furaha.
Watu hao ni kama ifuatavyo;
1. Mke/mume. (Present) .
2. wazazi (Past)
3. Watoto. (Future)
1. Mke/ Mume. (huyu ni wewe mwenyewe)
Hapa tunazungumzia familia yako.
Hauna familia nyingine zaidi ya wewe na huyo mkeo au mumeo.
Familia ya wazazi wako sio yako. Familia ya watoto wako wakikua sio yako.
Família yako ni Mkeo/mumeo na hao watoto kama Wakiwa watoto chini ya utegemezi.
Mkeo au mumeo ndio mtu pekee atakayeapa kuwa na wewe mpaka mwisho wa maisha yako. Na yeye ndiye yuko responsible juu yako.
Wazazi wako au watoto wako hawako responsible na wewe kwa sababu wao nao wana familia zao.
Mtu pekee atakayepata lawama na laana kwa kushindwa kukusaidia wakwanza ni Mkeo au mumeo.
Atakayefuata ni Watoto au wazazi kisha baadaye ndugu, rafiki na jamaa.
kama unahitaji furaha ya maisha ni lazima umfurahishe Mkeo au mumeo.
Jiheshimu na kumheshimu.
Jipende na umpende.
Mkeo au mumeo usimfananishe na yeyote.
Family First hiyo ni kanuni namba moja ukitaka kuwa na furaha.
Tafuta pesa kwa sababu yako na mumeo na mkeo.
Unapomtesa mkeo au mumeo elewa unajitesa wewe mwenyewe. Taikon Master nimechunguza na pasi na shaka nimegundua kuwa ukiona mzee iwe ni Bibi au Babu anateseka sasa hivi ujue ujana wake hakumfurahisha mke au mumewe.
Ukimtesa mume kwa kisingizio kuwa watoto watakusaidia uzeeni elewa kuwa watoto haohao watatumika kukutesa kwa kiwango Kilekile au zaidi.
Ukimtesa mkeo kisa kikazi au pesa zako elewa uzeeni utakumbwa na matatizo hayohayo ya mateso ya kifedha. Ushahidi wa mambo haya ninao.
2. Wazazi.
Wakati unaenjoy maisha yako usisahau kuwafurahisha wazazi wako.
Elewa, mafanikio yako ni sehemu ya furaha ya wazazi wako.
Mafanikio ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, kimichezo n.k. huwafanya wazazi wako wafurahie uzee wao.
Elewa, mzazi anafurahia mafanikio yako kuliko hata unavyomtumia pesa ambayo hajui chanzo chake.
Mfanye mzazi wako asifiwe kuwa kweli alikuzaa. Alizaa mtoto wa maana. Hakuna kitu wazazi wanapenda kama kuona matumbo na viuno vyao vilibarikiwa. Havikuzaa mapooza.
Kuwa na tabia njema, usiwatie wazazi wako aibu. Wanasononeka.
Elewa, robo tatu ya magonjwa ya wazee yanatokana na msongo wa mawazo kuhusu kizazi chao.
Kuanzia shinikizo la damu, Sukari, Stroke n.k.
Ukitaka mzazi wako uzidi kumwona miaka na miaka mfurahishe.
Moja ya mambo yanayomfurahisha mzazi ni kama ifuatavyo;
I) Kufanya kazi
Ukifanya kazi kwa bidii na akili lazima mafanikio utapata. Wazazi wanajivunia watoto wao wakifanya kazi. Kazi yoyote halali.
Usichague kazi.
Hakuna kitu wazazi huwaumiza kama kuona mtoto wao ni tegemezi(hafanyi kazi).
íi) kuanzisha familia
Tafuta binti /kijana fanyeni utaratibu mwende kwa wazazi mkatambulishane. Anzeni maisha.
Wazazi huona fahari kuona watoto wao wameanzisha familia zao kwa kuwaheshimu.
Mahari sio lazima ila Utambulisho ni lazima. Mahari sio sèhemu ya heshima ila Utambulisho ni heshima kwa wazazi.
Ni kuwafedhehesha wazazi wako nawa Mwanamke kama hutoenda kuwaona nao wakuone/wamwone mwenza wako.
Ni lazima uishi maisha ya amani katika ndoa yako ili wazazi wako wafurahie.
Ni fedheha na huzuni kwa wazazi kuoa oa au kuolewa olewa kila mara.
Ni fedheha na huzuni kutiwa mimba hovyohovyo au kutia mimba watoto wa Watu hovyohovyo.
Unataka kutia mimba, mtie mkeo. Unataka papuchi kula papuchi ya mkeo.
Unataka kutiwa mimba tiwa na mumeo. Unataka kuliwa mzigo liwa na mumeo hizo ni kanuni ambazo wala sio gharama.
iii) Kuwasadia matumizi madogo madogo nyumbani.
Wanaita kula matunda ya watoto wao.
Wazazi wanafurahi unapowajali.
Wazazi wanafurahi unaporekebisha makosa yao kwa upendo. Karabati Makazi yao yawe ya kisasa.
Wanunulie mashine za kurahisisha shughuli zao.
Zingatia; Haya yote ufanye yakiwa ndani ya uwezo wako.
3. WATOTO
Hii ni future yako
Hawa ni wewe katika Version nyingine katika zama zijazo.
Wape furaha ili uwe na furaha
Furaha ya hawa inalenga zaidi kuwaandaa wakitegemee. Waweze kujimudu na kumudu mazingira ya wakati wao ujao.
Wape elimu nzuri ili wajitambue na kutambua Watu wengine na mazingira yanayowazunguka.
Waandae kitabia wawe na tabia njema zenye tija ndani ya jamii.
Ninahakika kuwa hutofurahishwa kuona watoto wako wakiwa hawajitambui.
Utaishi maisha mabaya ukiona watoto wako wakiwa panya road, walevi, mashoga, makahaba, wakaa uchi mitandaoni.
Hivi utafurahi siku moja ukiona uchi wa binti yako huko mitandaoni? Kama haujui basi nakuhakikishia hautafurahi.
Utafurahi kuona binti yako kutwa kuvunja ndoa za Watu badala ya kutafuta mumewe? Hautafurahi. Zaidi utajilaani na kuona kuwa unambegu chafu zilizoleta uchafu Duniani.
Hautafurahi kuona kijana wako animikogo ya kike. Yaani ni shoga.
Ni lazima aidha wewe ufe mapema kwa Kihoro au umuue kwa njia unazojua wewe akuondolee aibu Mbaya zaidi Duniani.
Hautafurahi kuona watoto wako ni vibarua wanaolipwa pesa kiduchu huku wakiteseka kwa kazi ngumu.
Unaweza kwa sasa ukapuuzia kwa akili za ujana lakini elewa uzee mambo hubadilika kwa kiasi kikubwa.
Kama ilikuwa haujali elewa uzeeni utaanza kujali.
Utakuwa mtu wa kujihukumu na kujiona mwenye makosa.
Suluhu ni Pombe ndio utakaloona. Kama hautakuwa umejipanga zaidi sio ajabu wale wazee unaowashangaa wanakunywa mataputapu ukawa hivyo baadaye.
Kwa kujua mambo haya. Tunaowajibu wa kuhakikisha maisha yetu yanaandaliwa, yanalindwa na kuhifadhiwa mahali penye sifa nzuri.
Sio lazima uwe na pesa nyingi kufanya mambo haya na kulinda furaha yako.
Utahitajika Upendo, haki, kweli na Akili
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam