Watu wawili wanaodaiwa kutaka kumuua Ali Kiba wasema walitumwa na TID

Duh hii miunga ni hatari sana uyu TID asamehewe tu
 
duh mbona mmeenda ifukua mbali hvo(2012)!!!!
 
Ndo maana anamponda Kiba kumbe hampendi Kitambo tu.
 
Last edited by a moderator:
Daaah! Uzi una umri wa mtoto wangu!
 
ahaaa sasa nimeelewa huu uzi umefufuliwa baada ya comment ya T.I.D ya majuzi iliyoponda mwimbo mpya wa KIBA nia ni kutafuta tu sababu.
 
Tid ni mwanga kama wanga wengine, pia wa kuhurumiwa unga unammaliza.
 
ahaaa sasa nimeelewa huu uzi umefufuliwa baada ya comment ya T.I.D ya majuzi iliyoponda mwimbo mpya wa KIBA nia ni kutafuta tu sababu.

Mimi ndiye nimeifukua, kuna tatizo kwani? TID alipaswa kutuachia mashabiki tuujudge wimbo...alichofanya ni kuendeleza chuki tu!!
 
Kimsingi TID he's schizophrenic wala sishangai!..!

Schizophrenia is a challenging disorder that makes it difficult to distinguish between what is real and unreal, think clearly, manage emotions, relate to others, and function normally. But that doesn't mean there isn't hope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…