Watu Wawili wauawa kwenye Maandamano ya Gen Z, Mungu wa mbinguni iangalie Kenya kwa jicho la Huruma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa

CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa

Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼
 
Wajifunze kutoka katika maandamano yetu ya AMANI ya CHADEMA.
 
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa

CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa

Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼
Hawa wanauawa mchana nyinyi hapa mnawapoteza na kuwaua kisiri kama Ben na wengine wengi. nyote ni kundi moja. Afrka mashariki tuungane kuisaidia tanzania kuhusu kupotezwa kwa watu
 
Back
Top Bottom