J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 16, 2024 #1 Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 16, 2024 #2 Inasikitisha sana
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jul 16, 2024 #3 Wajifunze kutoka katika maandamano yetu ya AMANI ya CHADEMA.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jul 16, 2024 #4 johnthebaptist said: Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼 Click to expand... Hawa wanauawa mchana nyinyi hapa mnawapoteza na kuwaua kisiri kama Ben na wengine wengi. nyote ni kundi moja. Afrka mashariki tuungane kuisaidia tanzania kuhusu kupotezwa kwa watu
johnthebaptist said: Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani Africa Kesheni Mkiomba maana hamjui Siku wala saa 🐼 Click to expand... Hawa wanauawa mchana nyinyi hapa mnawapoteza na kuwaua kisiri kama Ben na wengine wengi. nyote ni kundi moja. Afrka mashariki tuungane kuisaidia tanzania kuhusu kupotezwa kwa watu
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Jul 16, 2024 #5 Mmarekani kashatia mguu pale Yuko nyuma ya vijana
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 Jul 16, 2024 #6 Kwani Mungu si katuumba ili tufe
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 16, 2024 #7 Bahati yake Teargas amesalimika, maana leo siku nzima ameshinda humu jukwaani na pumba zake😎