Kabisa kiongozi tukiwaacha hawa watoto wapelekwe na 'UPEPO' watapotea pakubwa mno na mwisho wa siku inakuwa ni hasara kwa familia mkuu.Sasa mi nadhani Kila mtu awe bize kumrekebisha watoto wake maana jamii imeshaharibika kwa kiasi kikubwa.
Hakika mkuu.Kabisa kiongozi tukiwaacha hawa watoto wapelekwe na 'UPEPO' watapotea pakubwa mno na mwisho wa siku inakuwa ni hasara kwa familia mkuu.
Unatafuta kulogwa eh😁😁😁Kuna memba anajiita jr humu.sikuhizi anamambo yakitoto hadi namhurumia
aniloge nani falatu huyo🫰Unatafuta kulogwa eh😁😁😁
Acha usengekaziyake kudanload picha mitandaoni nakuziweka humu
Una mambo ya kikekumaweweaniloge nani falatu huyo🫰
njoo na I'd yako ya mshana basi mremboUna mambo ya kikekumawewe
Inaleta ukakasi baadae kwa njia moja au nyingine kiongozi.Hamna jambo napata nalo tabu kama kutupa picha yangu Facebook, Instagram na mitandao mingine. Ok nikishatuma ndio faida ni like na u look good, umependeza nk nk. Sasa hapo faida ni nini. Lamda wasanii Kuna namna wanafaidi lakini kwangu Mimi sipo tayr kujibu meseji za umependeza, u look good na takatka nyingine
Endelea kuvaa vitenge mtoto wa kiume utakujaufirwe mbwawenjoo na I'd yako ya mshana basi mrembo
Watu wazima wengi hawajiheshimu, wanajiona bado wapo kwenye youth stage, LolTatizo watu age go Ila wanajiona watoto 😁
mshana pole boya weeEndelea kuvaa vitenge mtoto wa kiume utakujaufirwe mbwawe