nyie bado hamjajua nini maana ya ndoa watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa nalengo si mapenzi ndio maana inakua ishu kudumu kwenye ndoa
ila cahakushangaza watu wengi wanapenda sana wanandoa kwanini wakati kuna watu wengi wanatafuta kuolewa hawaolewi?
itakua fresh siku ukimwona mmoja jaribu kusema nae akupe data kamili zen uje utuambia na sie,but mi nafikiri ukivaa au usivae chamsingi moyo wako umeivaa hiyo pete na meaning yake?au unavaa kama fashion tu?
labda swali hili ndo lina wafanye wasivae........."nitapataje kama nikivaa"????
wanaotafuta kuolewa ni wengi lakini waoaji sasa kimbembe.ila cahakushangaza watu wengi wanapenda sana wanandoa kwanini wakati kuna watu wengi wanatafuta kuolewa hawaolewi?
tena ukitaka kupata kwa urahisi zaidi vaa uone.
wanaotafuta kuolewa ni wengi lakini waoaji sasa kimbembe.
utakuta wamepoteza ,wamenenepa ama wamekonda pete haziwatoshi..pia umri nao unawaza watoto ,wajukuu hekima za kutatua ndoa za wanao na wajukuu ..swala la pete linakuwa tabu
na mambo mengine mengi
Si sheria kuvaa pete. hata katika Ukristo.
Ili hiwe sheria inatakiwa iwepo kwenye Biblia au hiwe imefafanuliwa kwenye catechism!Mkuu una evidence kwamba hata katika ukristo kuvaa pete kwa wanandoa si utaratibu?
Vipi kuhusu pale mchungaji anaposema ".....na pete hii iwe ishara......."
labda swali hili ndo lina wafanye wasivae........."nitapataje kama nikivaa"????[/QUOTE]
Kwani pete inazuia nini?