Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!Wanaokaa gizani kupanga maovu ni akina nani mwehu wewe? Nani walitaka kumuua Lissu? Nani waliowabambikia kesi Viongozi wa Chadema? Nani waliowaua Saanane, Azory na Watanzania wengine chungu nzima na hadi leo hakuna uchunguzi?
Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!
Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!
Duh!Nakumbuka alivyomtumia Mallya kumuuwa Marehemu Chacha Wangwe na alipothubutu kukanyaga Tarime akaokolewa na Polisi huku mawe yakivurumishwa.
Dada una kiherehere sana wewe,mumeo kala hasara.Binafsi ni kweli ni kibwengo ninayeishi kulitukuza TAIFA LA TANZANIA...LILIVYO....HISTORIA YAKE KUNTU.....na malengo bora na adhimu kupitiliza kupitia misingi iliyoanzisha CCM.....
Msukure nisalimie Erythrocyte![emoji1787]
Huko CCM yamejaa mapooza tupuUngekuwa una akili usingeandika huu ujinga wako.