Watu we carwash, foma na kleesoft zinatupaushia rangi za bodi

Kwani unainterest gani na hizo kampuni ulizotaja hapo?.... Bora ungetumia maneno kama sabuni za unga detergent soap nafikiri ingependeza zaidi. Nikirudi kwenye mada mi hata siwalaum moja kwa moja wamiliki wa car wash ila shida ni sisi wateja kupenda huduma za bei rahisi wakati chombo umeinunua kwa mamilion, sasa hayo ndo madhara yake unafubaza chuma kwa muda mfupi mwisho wa siku ni kurudishia rangi tu. Kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…