mkuu post yako imenifikirisha sanaHahaha hujui ujambazi ni kazi?! Jambazi anaunga mkono "hapa kazi tu" urafiki ni haiba yake nzuri anapendwa hata na wale anaowaibia. Na jambazi anajua watu wa kuji associate nao, kama mapadri na wachungaji hii inampa public trust na kufanya kazi yake iwe rahisi. Jambazi anahudhuria jumuiya nyumba zote, na anasali vizuri tu, na mwisho atatubu dhambi zake, na atazijutia na mungu atamsamehe na ataingia peponi na wewe.
karibu mkuu, dunia imejaa viroja, ukivifikiria saana hutoweza kuishi na watu.mkuu post yako imenifikirisha sana