Watu wema watakumbuka mema, watu wabaya watakumbuka mabaya tuendelee kumuombea!

Watu wema watakumbuka mema, watu wabaya watakumbuka mabaya tuendelee kumuombea!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi.

Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha watu waovu huishi maisha marefu ili wapate kuja kuhadithia yale mema ya watu wema waliyoyatenda watu waovu wezi majizi hupenda kujifanya ni wema mbele za wema eti hata kama hawampendi ndio wao huyo ni mtu muovu mwerevu muuaji mtia sumu glass za wengine.

Je, mikataba ikifungiwa kwenye ardhi ya nyumbani kuna ubaya gani dollar imeadimika lakini kila uchao group la watu linalipiwa dollar kwenda kula bata ughaibuni ili hali wawekezaji wangekuja site.

Mama bado kunguni unao kitandani na kwenye mapindo choma vyote uanze upya wanakuhujumu VOA hawakufanya bahati mbaya kuna mkono wa mtu, badala ya kufanya kazi wanadili na Makonda.

Watu wema watakumbuka mema na watu wabaya watakumbuka mabaya bahari haijauzwa!
Tumuombee huko aliko!

20240115_212729.jpg
 
Ukiwa MTU mwema hauwezi kuingia katika siasa Ila unaweza kuwa Kiongozi.


Siasa uambatana na kuua ,visasi, chuki na ushirikina so tumuombee Sana mungu ampe pumziko la milele na taa au mwanga ukamwangaze .
 
Ukitaka kuonekana mwema kwa kuwafanyia ubaya wengine huo wema wako unakuwa hauna maana yoyote.
 
Back
Top Bottom