CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ukijaribu kutembea watu wengi utakuta wana mabanda ambayo yanaonekana yalisha wahi kutumiwa kwa ajili ya kulaza kuku.
Wengi unakuta wamebadili matumizi au wameyaacha yako tu yamekaa na hadinsasa unakuta Drinker na feeder zipo zina ning'inia juu.
KWA NINI WAMEPUMZISHA?
Hii ni kwa sababu ya zile hamasa za kwamba kuku wanalipa, kuku ni utajiri, watu wengi sana wakaingia kufuga kuku either kwa sababu waliona Jamaa zao au rafiki zao au majiraniao wanafuga.
Sasa na wao wakaingia kutaka kufuga kuku.
UKWELI WA UFUGAJI KUKU
Kuku ni moja ya kazi ambayo ni Capital internsive na labour intensive pia.
Kuku ni project kama una pesa za kuwekeza hapo, kuku sio project kama una pesa za kuunga uunga au una pesa unawazia.
Kuku wanahitaji pesa ili kuwafuga kwa sababu ni Capital intensive hasa lipo kuja swala la Chakula.
Chakula chao kinachukua asilimia 70 ya gharama zote za kutunza kuku that is why.
Kuku poa wanajitaji Care ya karibu sana make mistake kidogo tu inakuwaga ni msiba mkuu kabisa.
Kuku sio project ya kukimbilia kama huna passion, kama huna Commitment.
KWA NINI WATU WAMEPUMZISHA MABANDA?
1. Walifuga kuku wakafa wote,
2. Walikosa pesa za kununua chakula wakaaamua waache kufuga.
3.Waliona gharama za ufugaji na wanacho kipata havilingani kabisa.
4.Soko walilokutana nalo nitofauti na uhalisia.
Na zingine nyingi sana,
WANAO ENDELEA KUFUGA
Hawa ni wale ambao wao hawajavutwa na mtu kufuga bali ni plan zao na ni Passion yao kufuga kuku, hawa wapo kwenye Industry na wanafuga na ku make money.
MWISHO
Ufugaji wa kuku sio Project ya kukimbilia kama huna target na kama huna pesa.
Kuku ili wakupe pesa lazima uwekeze vilivyo hasa kwenye vyakula.
Kuku wanahitaji sana pesa ili kukupa pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app