Kuna boss wetu mmoja huku kazin kwetu daily lazima umsikie akiongea na simu kuhusu kuku au chakula cha kuku miezi ikasogea bwana
Ila baada ya miezi 4 akawa yeye ndio anaulizia kuku aende akale nyumbni na mkewe
Nkaja kumuuliza VP boss kuhusu mradi wako wa kuku?
Kesho yake nikapewa barua ya onyo, Eti niache umbeya,