Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Sera za ubepari zinazungumziwa sana sababu ya wivu wa watu wanaochukia sera hizo kutoka marekani.ila sera za ujamaa zinatisha sana zilipotokea urusi.
nchi nyingi zilizopitia sera za ujamaa zijawai kuwa sawa na hata kama zipo kwenye ubepari basi ni ule wakujaribu sababu ujamaa unaendelea kwenye watawala.
Angalia kwa kiduku mfano tu
nchi nyingi zilizopitia sera za ujamaa zijawai kuwa sawa na hata kama zipo kwenye ubepari basi ni ule wakujaribu sababu ujamaa unaendelea kwenye watawala.
Angalia kwa kiduku mfano tu