Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Asilimia 97 ya walio tumia sabuni hii wana kesi ya kujibu siku ya hukumu, nawakumbusha kutubu ile dhambi waliyo itenda.
Kama hujaelewa basi.
Kama hujaelewa basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hukutumia?Sio issue
Hivi kwa nini walikuwa wanaziweka hizi🤣🤣🤣🤣Asilimia 97 ya walio tumia sabuni hii wana kesi ya kujibu siku ya hukumu, nawakumbusha kutubu ile dhambi waliyo itenda.
Kama hujaelewa basi.View attachment 2566460
Zipo hata leo nimetumia kufulia mkuu.Hivi kwa nini walikuwa wanaziweka hizi🤣🤣🤣🤣
Unatumia kufanya niniNinazo zimejaa geto,
Tuambizane basiTuliosomea Cuba tumekusoma vyedi yani
Tuambizane basi
Ahahahahahah.Tuambizane basi
😀😀😀Ahahahahahah.
Hiz ni sabuni zinazotumika zaid ma guest/lodge/hotel sasa huwa tunatumia kuoga baada ya kuwapelekea moto wake za watu na michepuko yetu 😂😂 huko mahala
Tuelekeze ndugu Bei Elekezi,jina ni la maelekezo bado hutuelekezi tukuelewe🤔Asilimia 97 ya walio tumia sabuni hii wana kesi ya kujibu siku ya hukumu, nawakumbusha kutubu ile dhambi waliyo itenda.
Kama hujaelewa basi.View attachment 2566460
Kumbe ni makolo ndo wanazitengenezaHalafu zinatengenezwa na Mohamed dewji MO. Sema Bora hizi kuliko zile za kigoma zanakatwa vipande halafu zinawasha kinoma
Kwahiyo wewe humwombagi msamaha ukikosea?""Anatujua Ingali bado hatujazaliwa""Sioni haja ya kumsumbua Mungu Baba na matoba!!!
Ngoja watusaidie😀😀Hivi ni kwa nini hizi?![emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo wewe humwombagi msamaha uki
Anachohitaji Baba Mungu,,,ni shukrani zako kwake tuu hayo mengine tunalishana upuuzi tuu,,,Mimi kazi yangu kwake ni kumshukuru tuu kwa kila hali na kila jambo!!Kwahiyo wewe humwombagi msamaha ukikosea?