Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,516
- 1,338
Naona watu wengi Instagram, X na JF wanamlaumu injinia na kumuona mpumbavu kwa kumfukuza kocha Gamondi. Kwanza Rais ana jopo la uongozi ambalo anashirikiana nalo kufanya maamuzi ya timu.
Kuna watu wanafikia kusema "nilikuwa namuona injinia smart ila kumbe mpumbavu" bila kujua kiini cha tatizo hakijaanzia kwenye mechi za juzi, bali issue imeanza muda mrefu sana kutokana na yeye kushindwa kuelewana na technical stuff.
Gamondi hashauriki na misimamo yake imepelekea kuleta mgawanyiko kwa wachezaji kitu ambacho mechi za juzi zimekuwa kama nyingeza tuu katika kutimuliwa kwake. Ni ujinga na upumbavu kuwaza kuwa mechi za juzi ndio zimemuondoa, viongozi wa Young Africa sio wapumbavu ambao unadhani maamuzi yao yamesababishwa na mechi mbili za juu la hasha.
Ni muunganiko wa ndani kabisa uliosababisha hata wachezaji kuwa na mpasuko katika timu.