The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Watu wengi wanaoendesha magari aina ya Alteza ama Subatu wana matatizo, ni watu wanaopenda kusikika ama kujulikana kama wapo, watu wanaopemda kutambulika uwepo wao, kwa kitaalamu tunaita Histrionic personality disorder (HPD) ama attention seeking disorder.
Mtu yeyote ambaye anapenda kutambulika uwepo wake, kama waandika herufi kubwa, kuweka funga na fungua semi kwenye kila neno, kuweka mkazo(bold), kuweka muziki mkubwa ama sauti kubwa kwenye gari( waendesha atleza wengi utakuta ameweka muziki/sauti kubwa, eksozi inayopiga kelele na mambo kama hayo.
Hii mada bado inaendelea.