Watu wengine banaa,hivi kwanini....

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Wakuu habari za asubui,naona weekend imeanza,nisiwachoshe asee, hivi kwanini/binadamu sana sana ngozi nyeusi hatupendani asee, hasa ma ofisini?

Alafu roho mbayaa , kukinga kila mwezako anacho taka kufanikisha kwa vile uko kwenye nafasi ya kuweza kuzuia.ila wewee ukiwa na shida zako unataka usaidiwe, afu ukute ni jinsia mojaa, mwanaume mwezako, mwenye familia na kijana.

kuna mtu kaaribu sana mood yangu leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…