geof_intelegenc
Member
- Nov 13, 2016
- 36
- 7
Jamaa mmoja alinipigia cm akitaka nimkope sh 20000 nikamwambia labda nimpe sh18000 akaniambia poa nikamwambia apa nilipo ipo 15000 akasema poa nipe iyo 15000 sipunguzi tena apo sasa cjaelewa apunguzi nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.