Nadhani hujamuelewa alichosema OPFanya kazi kwa bidii utapata Chochote kitu hakuna pesa rahisi ya kuangalia video online
Kuna kulipisha membership fee kila mwezi kwa hao viewers ili waweze endelea pata access ya hizo videos.Natumain u mzima na hujambo
Huwa najiuliza je watu wenye apps za kibiashara huingizaje pesa kwa watu kuangalia vidio kwa app zao, au kusoma taarifa?
Naombeni kufahamu zaid
nadhani itakuwa vyema ukampm kiongozi maxence akupe abc za jinsi anavyoingiza hela kupitia jf atakuelewesha vizuri ana longolongo boss yuleAu mfano mwingine watu Kama wajamii forums.
Najua lilikua wazo Ila sasa mkuu ana make pesa.
Ndio hapo swali langu lipo huwa wanapataje hizo pesa