Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Acha kuropoka wewe. ID mbaya kabisa ni Daudi Mchambuzi, BAK, Mwanahabari Huru, Salary Slip na wengine. Yaani hao na kundi lao ni wafia chama kilichokufa cha chandomo na ni mavuvuzela ya hilo li chama lililokufa
Yaani wewe unawazaga siasa tu...
Hao ulio wataja ni wapinzani wako kuleeee kwenye jukwaa lenu, na hapa unaonyesha chuki za kisiasa na kiitikadi dhidi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…