Watu wenye mambo na hoja za kitoto waanzishiwe jukwaa lao maana wananyanyasika sana.

banned do

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
574
Reaction score
506
Mf Nenda kalale,kanyonye mara anaulizwa"shule inafunguliwa lini?Mara likizo inatujazia seva,Kalale ukue.Balehe inakusumbua,Mwingine akichangia utasikia"Bado tu upo kwa shemeji?Yaani hawa watu wananyanyasika ni bora seva ingewakataa wakati wanajisajili humu jf.Hata mtoto ana haki yake bhanaaaaaaaa...[emoji12]
 
Attachments

  • img_BT1kL4RD3Nw.jpeg
    img_BT1kL4RD3Nw.jpeg
    41.5 KB · Views: 46
Mf Nenda kalale,kanyonye mara anaulizwa"shule inafunguliwa lini?Mara likizo inatujazia seva,Kalale ukue.Balehe inakusumbua,Mwingine akichangia utasikia"Bado tu upo kwa shemeji?Yaani hawa watu wananyanyasika ni bora seva ingewakataa wakati wanajisajili humu jf.Hata mtoto ana haki yake bhanaaaaaaaa...[emoji12]
[emoji36] [emoji36]
 
Basi wahamie huko
Wamekosa fuso ya kubeba vyombo vyao maana wapo wengi sana akiwemo jamaa mmoja anayependa kuporomosha mitusi bila kujua kuwa baba zake wa kufikia wamo humu.
 
Nahitaji kibali cha kuingia makapuku ili nikawachunguze.
 
Back
Top Bottom