[emoji36] [emoji36]Mf Nenda kalale,kanyonye mara anaulizwa"shule inafunguliwa lini?Mara likizo inatujazia seva,Kalale ukue.Balehe inakusumbua,Mwingine akichangia utasikia"Bado tu upo kwa shemeji?Yaani hawa watu wananyanyasika ni bora seva ingewakataa wakati wanajisajili humu jf.Hata mtoto ana haki yake bhanaaaaaaaa...[emoji12]
[emoji23]Makapuku walitokana na thread kama ihiiii
Basi wahamie hukoMakapuku walitokana na thread kama ihiiii
Hahaha usiwaze..utaniMakengeza umeshaanza kunyanyapaa watu.
Kule huhitaji kibali wala hoja, kule nanda na kaseme HI inatosha na utapata heko kibaoNahitaji kibali cha kuingia makapuku ili nikawachunguze.
Unawaonea wivu kisa ww hukufika hukoForm 6 mnasumbua kweli
tatizo lake sio wivu ni kusumbuliwa tu na hao form 6Unawaonea wivu kisa ww hukufika huko