Watu wenye Matamanio Yasiyokuwa na Mipaka: Rafiki yangu wa chuo ana ufanano mkubwa sana na Engonga wa Guinea

Huyo aliyekufuata kukuomba umwachie mchumba wake, ungelimtoza hela.

Mi niliwahi kula rushwa ya ngono kwa mjinga kama huyo.

Na rushwa ya ngono niliyokula siyo ya kufanya mapenzi na mwanamke, bali ni rushwa ya pesa ili niliachilie jimbo jamaa aoe.

Alinifuata kama ulivyosema: 'ooh brother huyo ni mchumba wa brother angu, kachumbia karudi mjini anataka kuja kufunga naye ndoa'.

Nikamwambia anirudishie gharama nilizotoa ili niachie jimbo, vinginevyo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake,akakubali kunilipa fidia nikampisha.
 
Daaah hiyo akili sikuwa nayo mkuu.
 
Pirate code haven't boundaries
 
Sikiliza nikwambie.
Ukiwa kitombi kuna ka harufu flani ambacho malaya huwa wanakinusa kama mbwa.
Yaani wakikuona tu nyege zinapanda
 
Mpe salam zangu huyo rafiki yako
 
Na wewe ni wale wale
 
Kwa kweli apewe maua yake mapemaaa
 
Ivi waarabu na wahindi mbona hawana hizi tabia? Kwamba hawana hisia ama? Nimesoma nao sijawahi kuona hizi tabia zilizokithiri kwa wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…