Watu wenye Matamanio Yasiyokuwa na Mipaka: Rafiki yangu wa chuo ana ufanano mkubwa sana na Engonga wa Guinea

Sahishi kabisa nafkiri nii ni nature na kila race ina asilimia zake, kama inawezekana itupue humu hiyo video au link yake
Nili I copy na ku paste, ninayo kwa flash. Ninayo since mwaka 2004. Mengi alioyasema mule bro yana sikitisha sana, alizungumza pia kuhusu weusi na wizi wa mali za umma; kwamba tukipewa madaraka, hakuna kingine ambacho huaga tunakifikiria zaidi ya wizi wa mali za umma na kwenda kuficha overseas. Anyway, mengine yana udhi sana
 
Hakuna mwanasaikolojia wa kumtoa huyo rafiki yako kwenye huo MKWAMO. Gereji pekee anayohitaji huyo rafiki yako ni YESU KRISTO. Huyu ndiye pekee anayeweza kumfungia 'speed governor' na kumfanya kuwa kiumbe kipya kabisa!
 
Sahishi kabisa nafkiri nii ni nature na kila race ina asilimia zake, kama inawezekana itupue humu hiyo video au link yake

Nimeichomoa mahali.

This is a speech allegedly made by former White South African President P.W Botha to his cabinet about 27 years ago. It was reprinted by David G Mailu for the Sunday Times, a South African newspaper, in 1985.

The speech below

” We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks
that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks in 1001 ways. The Republic of South Africa that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood……We do not pretend like other whites that we like the blacks

The fact that, blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike. If God had wanted us to be equal to the blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect.

But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled. Intellectually,we are superior to the Blacks; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the Afrikaner is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves.

Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Blackman is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn’t it plausible?

Therefore that the Whiteman is created to rule the Black man, And here is a creature (Black man) that lacks foresight….. The average Black does not plan his life beyond a year”.
 
Hii story ni ya uongooo!!!!!! Over.
Mkuu wala usibishe, nina jamaa yangu alikuwa anafanya kazi, yaan wale kazi zao zilikuwa unakwenda mkoa unakaa mwezi mzima, harafu unarudi bongo ukishaleta report unapangiwa mkoa mwingine.

Yule jamaa anasema katika mikoa aliyokula mbususu Tanzania hii ni Upaleni na Singida katika mikoa aliyozunguuka yote.


Yeye alikuwa anaishi hotelini anakwambia kila akigeuka mbususu hiihapa
 
Jinsia ya ke kuitafakari ni ngumu sana. Kuna mbaba mtu mzima yuko slim hivi mke wake analumbana naye kila mara serikali za mitaa kesi za ufumanizi.
Ajabu huyo mjuba ukimuon kimwonekano ni f kabisa na hata hela hana yani apeche alolo.
Kumbe wamama wenyewe wanahadithiana kua mbaba anamzigo wa kwenda.
Kwa akili zao ke. Kila mmoja anataka ajaribu huo mzigo.
Basi anatongozwa na wadada na wamama.
Tena wengine wale wanaojitambua kabisa.
 
Kama unajua search name yake niweze nikaisearch YouTube tafadhali nipatie
 
Unapotembea na wanawake wengi ndio jinsi unavyoweza kujua codes,udhaifu wao na mitego mingi ili uweze kuwapata na kulala nao,ndio maana unakuta huyu mtu akishaingia kuacha inakuwa ngumu kwakuwa huwa hatumii nguvu nyingi kuwapata.Umeshawahi kusikia mtu akisema kwanini wanawake wanapenda wanaume ambao ni malaya ,sio kama wanawapenda ila yeye anakuwa anajua mitego yote ya kuwapata kwahiyo hata ukijifanya mjanja vipi akikutaka utaingia line.Uzinzi sio kitu kizuri,fanya research ndogo tu ya hatima ya hii aina ya watu inakuwaje,kama sio yeye ni familia yake au mke wake,lazima itajikuta kwenye maangamizi na mateso ya hali ya juu sana baadaye...
 
Engonga part 2
 
 
Hiyo nchi auze kila kitu ahame tu kwa kweli
 
Hizi tabia ziko na watanzania wengi pia ila mwisho wa siku huwa ni majito ila wengi wao huwa kama visasi hv yani kama alikuwa na mdada halaf akamuacha au akaliwa na mwingine sasa anaamua kama watanikoma hv,sasa nawaambia kisa kimoja cha kweli kuna jamaa mmoja kasoma hadi mwisho yani yeue ni lecture chuo maarufu sana sasa alimaliza alomu zote akiwa kijana bwana huyu jamaa watotonwa chuo wamekoma sana ametembea nao wengi sana pesa anayo uwezo anao aisee kuna jamaa yangu mmoja alikuwa hapo chuo akinisimuliwa alivyoliwa na dem wake aliumia sana yani aliapa kama kuna uchawi ataufuata uliko amkomeshe jamaa sasa bas huyo lecture kwa sasa ana miaka hawez kufanya kazi anashinda hosptal hoi taaban ugonjwa wenyewe sasa hausomeki mpaka familia yani inaasubir adondoke tu kila anaemgusa hana habar nae,tatizo alimuumiza sana mkewe wkt yko vzur kwa tabia zake sasa kusema ukweli anatia huruma majuto ni mjukuu,kufanya uasheratinji sifa za kijinga,ila pia vijana tufanye kazi kwa bidii sio kutafta mali kwa waganga masharti yake ni mabaya sana.
 
Kama unajua search name yake niweze nikaisearch YouTube tafadhali nipatie
Kuna mtu kaitupia hapo ju tayari though haipo full; well, mtoa hotuba alikua anaitwa Peter W. Botha, rais wa pili kutoka mwisho wa serikali ya kibaguzi ya South Africa. Rais aliyempokea anaitwa Fredrick DE Cleck huyu ndio alimtoa Mandela gerezani na kukabidhi serikali kwa wazalendo.
 
Sawa, japo South Africa hadi Leo arable land asilimia 70 inamilikiwa na whites ambao wapo only 8 percent ya raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…