Watu wenye Matamanio Yasiyokuwa na Mipaka: Rafiki yangu wa chuo ana ufanano mkubwa sana na Engonga wa Guinea

Duuh
 
Alikuwa anafanyaje mbona mi siwezi.
 
Uliwapataje mkuu?
 
Tupe mbinu uliwezaje mkuu
 
Hahaha
 
Haha
 
Wanaume wengi wana tabia hiyo
Wanaume wengi wanapenda kuwa na tabia hiyo ya kutembea na wanawake wengi tofauti, ila wanaume wengi hawana uwezo huo, wanaume wengi wana miaka na miaka wapo single wanaishia kupiga nyeto au kununua wadada wanaojiuza barabarani, wengine wakijitahidi sana wanaishia ku-date na wadada 5 tofauti kwa miaka 5 tofauti

Hivyo wadada msidangayike, wanaume ma-player wenye uwezo wa kutongoza na kupata wanawake wengi ni wachache, labda na wanaume wenzangu waje pigilia msumari kwenye hili

NB: Mwanaume kuwa na uwezo wa kutongoza na kupata wanawake wengi havina uhusiano na hela alizo nazo, mwanaume unaweza ukawa na hela nyingi lakini bado uka struggle kupata mdada mzuri wa kukuvulia nguo Dejane To yeye Extrovert Equation x Natafuta Ajira mzabzab Ms R
 
Thats not my case πŸ˜‚
 
Wee ukiwa na hela mademu h agegedwa tuu maana wanajileta tuu Wala huwatafuti
 
Huo ni mtazamo wako binafsi
 
Wanaume wengi wana tabia hiyo
Tofaut Yao ni kuwa Hawarekodi lakini Kuna mkaka yeye alikuwa kilasiku anaamka mwanamke mpya kwake πŸ˜ƒ na ana mke lkn mkewe yupo mbali Yan ni daily ukiona hujakutan na mgeni bas amesafiri πŸ˜ƒ imagine for 2 yrs inakuwaje had unajiuliza anatongoza saa ngapi
 
Hao Wanawake walikuwa wazuri wenye sura nzuri na shepu au vibungo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…