Watu wenye matatizo ya kiakili/ vichaa/ wao wanapataje hisia za kuwa wana njaa?

Watu wenye matatizo ya kiakili/ vichaa/ wao wanapataje hisia za kuwa wana njaa?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula?

Kwakuwa akili za ku sense hawana? au ndo tuite wanaji zima data afu wanajirudi kula then wana jizimisha data wana rudi hali hiyo ya uwendawazimu
 
Kuna mambo unachagua kufanya na Kuna mengine ambayo huwezi kuupangia mwili.
Huwezi kuupangia mwili kusukuma damu, kuiskia maumivu, kulala au kusikia njaa. Wanasema ni involuntary activities.

So, kichaa ni mtu mwenye changamoto ya afya ya akili tu, mifumo yake mingine inafanya kazi barabara tu.
 
issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula ? kwakuwa akili za ku sense hawana ? au ndo tuite wanaji zima data afu wanajirudi kula then wana jizimisha data wana rudi hali hiyo ya uwendawazimu
umeshasema kiakili ko shida ni akili si mifumo ya kuleta taarifa!!
 
Ubongo una maeneo mengi,,linalohusika na hisia ya njaa haliathiriki na matatizo ya akili.
 
Kuwa kichaa na kukosa akili ni vitu viwili tofauti kabisa, ni kama Dunia na Alfa Sentauri.

Neno sahihi lingepaswa kuwa kuvurugwa akili - ambapo kisayansi kila mwanadamu ana kiwango fulani cha tatizo hilo.

Pili, hata mtu akivurugwa akili, kuna dhima (functions) zingine za ubongo ambazo hazijaathirika, na zinafanya kazi kama kawaida.

Kompyuta inaweza kuharibika mfumo wa ndani wa viendeshi vyake (drives) lakini ikaendelea kufanya shughulizi zingine kama kawaida.

Si ajabu mtu anayeitwa kichaa anaweza kuzaa na kumtunza mwanae vizuri hata kuliko mtu mwenye kisomo bora cha malezi.
 
issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula ? kwakuwa akili za ku sense hawana ? au ndo tuite wanaji zima data afu wanajirudi kula then wana jizimisha data wana rudi hali hiyo ya uwendawazimu
Na nyege wanazo sembuse njaa
 
Back
Top Bottom