Watu wenye uchungu wa maisha wajitokeze

Tunaweza kuonana physically once utakapokuwa arusha
 
Na mimi niweke kwenye LIST ya hao watu 20.

Mengine tutajadiliana hapo baadae
 
Good vision, mi Niko Mwanza Niko tayar
 
Mh hakimu nakiri kuwa mshtakiwa ananidai kiasi hicho cha pesa. Naomba muda kulipa kwa kuwa kwa sasa sina kazi na pia nina familia inanitegemea. Ninaahidi kulipa 5000 kila wiki mpaka deni litakapokwisha.

Kesi za madai bwana.
 
1.Ingefaa iendeshwe kama vikoba
2.Ingependeza zaidi wote tuwe tunakaa mtaa/kijiji kimoja
Katiba kwanza,ndio mengine yafuate.
NI jambo jema.
 
Mh hakimu nakiri kuwa mshtakiwa ananidai kiasi hicho cha pesa. Naomba muda kulipa kwa kuwa kwa sasa sina kazi na pia nina familia inanitegemea. Ninaahidi kulipa 5000 kila wiki mpaka deni litakapokwisha.

Kesi za madai bwana.
Umeshaambiwa risk takers tu ndio wanaotoboa maisha haya.

Mtu upo bodi ya mikopo unaogopa hata kujikopesha si ujinga huo?
 
Wale wakazi wa ARUSHA kesho nitakuwa ARUSHA naelekea TANGA kama utahitaji kuonana nami bas follow contact zangu ktk post yangu hapo juu
 
Wazo zuri ndugu yangu,mwenyezi mungu hakutangulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…