Watu wenye weledi na Busara wamejitenga na serikali ya Samia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Hakuna mtu smart yeyoye anaweza kukumbatia serikali ya Samia. Serikali ambayo haijawekeza katika weledi.
Ni mtu gani huyo smart atakubali kukaa meza moja na akina Mwijaku au mashekh wa ubwabwa na machawa wengine? hata waislamu. Smart wanashangaa nchi inavyoendeshwa.

Ndege wafanano huruka pamoja. Ukitembea na wezi wanne wewe utakuwa mwizi wa tano. Nawapongeza watu wote smart walioamua kuwa watazamaji mama akilikoroga maana akikosolewa anakata watu vichwa.

 
😅😅
 
Mimi naona ndio kwanza wanajitenga na chadema
 
Uchawa ni zao la unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Nenda Kenya, ukale risasi, jana wenzako wamekula risasi, na wengine wako taabani mahospitalini. Na wengine wameporwa mali zao majumbani, wameshindwa kwenda makazini, magari yamechomwa moto, maduka yameporwa na majumbani wamepora, Wagonjwa na wajawazito imeshindikana kwenda hospitalini, hiyo ndio ilikuwa sabasaba yao, wakati sabasaba ya Tanzania, tumeenjoy na kula Bata, siku kuu njema kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…