Haohao weusi unaowadis ndo wamepindua meza ndani ya dakika mbili baads ya weupe akna Giroud, Griezman n.k kushindwa kazi. Sasa unawalaumu nn. Japan penalty zao zote zilidakwa, spain nae penalty zake zilidakwa na zingine kupotea, nao weusi?
Mzungu wapi ww. Kuna mzungu wa vile. Ww wa wapi ww.Mbappe ni mzungu
Thread closedAwa ndio mashabik maandazi ambao mpira wameanza kuushabikia baada ya kununua smartphones,