Ngoja wajeKwa hiyo nabii wa Mungu unashudia kama alizini
Ina maana mtume ibrahimu aliziniArabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Hujui historia ww kaa tu kimya ...ukijua maana ya neno saud Arabia na Egypt ndo uje hapa useme hayo ....toka usingizini umeibiwa historia yako hujijui wewe..... [HASHTAG]#watu[/HASHTAG] wng wanaangamia kwa kukosa maarifaArabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Waisraeli wanatuchukia watu weusi. Usipigwe upofu na maandiko.Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Mkuu usitake makaburi yafunuliwe! Utaukimbia mnakasha huu zikiletwa habari za maisha ya "manabii na mitume" humu. Jambo moja tu liko wazi; katika wote, ni mmoja tu hakuzaliwa, kukulia, wala kufa katika dhambi. Wamjua, dunia yamjua, na hata Shetani anamfahamu vilivyo.Kwa hiyo nabii wa Mungu unashudia kama alizini
Unauliza majibu?Ina maana mtume ibrahimu alizini
Ina maana isaka na ndugu yake Ishmael wana ugomvi sababu ya urithi ...
Je na Adam ambae hana baba wala mama shetani hamjuiMkuu usitake makaburi yafunuliwe! Utaukimbia mnakasha huu zikiletwa habari za maisha ya "manabii na mitume" humu. Jambo moja tu liko wazi; katika wote, ni mmoja tu hakuzaliwa, kukulia, wala kufa katika dhambi. Wamjua, dunia yamjua, na hata Shetani anamfahamu vilivyo.
Elewa context! Hata wewe Shetani anakujua kuliko unavyojijua. Shetani anamjua kwamba hana dhambi ndicho nilichomaanisha.Je na Adam ambae hana baba wala mama shetani hamjui
Hizo ni topic au masomo mengine tena ya kutosha. Nilikuwa najibu habari ya zinaa ambayo ni "branch" mojawapo ya dhambi.Mi nilifikir unamaanisha yesu ni wa ajabu zaid kwa kua hana baba sasa na mimi nikakumbia je baba yetu Adam ambae hana baba wala mama je
kwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa?.Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Hawa wanashindwa kuelewa zama zile mjakazi ilikua ni halali kabisaaa unamliki kwa kila kitu ndio mana hakuna andiko hata moja la Mungu kumuonya mtume wake kwa kosa alilo fanya hapa watakuja na mistar ya ushahidi fulani kasema fulani kasemekwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa?.
Huoni kuwa unajichanganya mwenyewe hapo?,
as for baraka alizopewa abraham zilihusu uzao wake wote na wala haikuhusu watoto wa yakobo ambao hata hivyo kipindi hicho hata yakobo alikuwa bado hajazaliwa,
jambo jingine uelewe kuwa isaack hakuwa mwisrael wala myahudi,uwage unasoma na kuelewa mkuu